Karibu Pasi Mfalme, sehemu unayoweza kuamini kwa huduma za kufua, kupiga pasi, Dry Cleaning pamoja na Pickup & Delivery kwa ubora wa hali ya juu, kwa haraka na kwa bei rafiki.
Wateja Walioridhika
Nguo Zimehudumiwa
Miaka ya Uzoefu
Wastani wa Tathmini
Pasi Mfalme ni kampuni ya kisasa inayotoa huduma za kufua, kupiga pasi, Dry Cleaning pamoja na Pickup & Delivery. Dhamira yetu ni kuhakikisha kila mteja anapata huduma yenye ubora wa hali ya juu, kwa haraka na kwa uaminifu.
Tunatumia vifaa vya kisasa, sabuni zenye ubora na timu yenye uzoefu ili kuhakikisha nguo zako zinakuwa safi, nadhifu na tayari kuvaliwa wakati wote.
Tembelea gallery yetu kuona baadhi ya kazi tulizozifanya kwa ubora wa hali ya juu.
Tunatoa huduma za kisasa za kufua, kupiga pasi na Dry Cleaning kwa ubora wa hali ya juu.
Tunakufuata nyumbani au ofisini na kukurudishia nguo zako kwa wakati.
Weka Oda โTupo tayari kukuhudumia kila siku. Wasiliana nasi kupitia simu, WhatsApp, Instagram au tutumie ujumbe kupitia fomu hii.
Monday - Saturday
8:00 AM - 7:00 PM
Sunday
9:00 AM - 7:00 PM
Jaza fomu hii kisha bonyeza Tuma Oda. WhatsApp itafunguka na oda yako itatumwa moja kwa moja.